Kipindi cha pili dakika za lala salama dakika ya 87 Mchezaji Victor Anichebe akitokea benchi kuchukua nafasi ya Morgan katika dakika ya 73 akasawazisha bao nakufanya 1-1. Bao safi la kichwa baada ya kupewa krosi safi na Saido Berahino. Mambo yakawa mabaya kwa timu ya Chelsea ugenini The Hawthorns.
Victor Anichebe wa West Brom akisawazisha bao katika dakika za lala salama na ngoma kulala sare!!
Mapema mwishoni mwa kipindi cha kwanza Ivanovic aliwapachikia Chelsea bao na kufanya mpira kwenda mapumziko 1-0 kwenye uwanja wa West Brom Albion the Hawthorns.
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao lao walilolipata mwishoni mwa kipindi cha kwanza.
MATOKEO:
Jumanne Februari 11
Cardiff City 0 v Aston Villa 0
Hull City 0 v Southampton 1
West Ham 2 v Norwich 0
West Brom 1 v Chelsea 1
MATOKEO:
Jumanne Februari 11
Cardiff City 0 v Aston Villa 0
Hull City 0 v Southampton 1
West Ham 2 v Norwich 0
West Brom 1 v Chelsea 1
No comments:
Post a Comment