BUKOBA SPORTS

Friday, February 28, 2014

MASHABIKI MANCHESTER UNITED WAMPANDISHIA MIZUKA KOCHA DAVID MOYES....WATAKA AFUKUZWE OLD TRAFFORD! BAADHI WAJICHORA TATOO



Shabiki wa United akitoa ujumbe akitaka David Moyes kutimliwa

Mashabiki wa United kwenye raha zao kipindi cha nyuma baada ya kuifunga Chelsea
"kutatokea siku kama ile ya Jumaapili na huenda tukakabiliwa na matokeo zaidi kama hayo kwa sababu tuko katika kipindi cha mpito," alwaaambia waandishi habari United Hoi....



Mtandao wa Manchester evening news wamefanya utafiti wa kutaka kujua mchezaji gani auzwe au kubaki kwenye kikosi tulichonacho.
Mashabiki 5000 wamehusika katika utafiti huo, na matokeo yake yamekuwa kama ifuatavyo.

1. Alex Buttner - 32.7% abaki, 67.6% auzwe.

2. Andes Lindergaard - 72.7% abaki, 27.3% auzwe.

3. Anderson - 6.8% abaki, 93.2% auzwe.

4. Antonio Valensia - 69.7% abaki, 30.3% auzwe.

5. Ashley Young - 18% abaki, 82% auzwe.

6. Ben Amos - 67.5% abaki, 32.5% auzwe.

7. Criss Smalling - 70.6% abaki, 29.4% auzwe.

8. Danny Welbeck - 88.8% abaki, 11.2% auzwe.

9. Darren Fletcher - 85.8% abaki, 14.2% auzwe.

10. David De Gea - 96.2% abaki, 3.8% auzwe.

11. Fabio Da Silva - 28.6% abaki, 71.4% auzwe.

12. Guillermo Varela - 65.9% abaki, 34.1% auzwe.

13. Jonny Evans - 84.1% abaki, 15.9% auzwe.

14. Maroane Fellaini - 49.4% abaki, 50.6% auzwe.

15. Michael Carrick - 91% abaki, 9% auzwe.

16. Luis Nani - 23.5% abaki, 76.5% auzwe.

17. Nemanja Vidic - 66.7% abaki, 6.9% auzwe sasa na 26.4% auzwe kiangazi.

18. Patrice Evra - 53.5% abaki, 46.5% auzwe.

19. Phil Jones - 95.1% abaki, 4.9% auzwe.

20. Rafael Da Silva - 91.2% abaki, 8.8% auzwe.

21. Rio Ferdinand - 13.3% abaki, 11.2% auzwe sasa na 75.6% auzwe kiangazi.

22. Robin Van Persie - 90.6% abaki, 9.4% auzwe.

23. Ryan Giggs - 21.5% abaki kwa msimu mmoja, 78.6% astaafu.

24. Shinji Kagawa - 75.3% abaki, 24.7% auzwe.

25. Tom Cleverley - 36.3% abaki, 63:7% auzwe.

26. Wayne Rooney - 90.1% abaki, 9.9% auzwe.

27. Wilfried Zaha - 86.1% abaki, 13.9% auzwe.


Hayo ndio mawazo ya mashabiki wenzetu
waliowakilisha.
Wewe unaona wapi sio sawa kwa maoni yako?

No comments:

Post a Comment