MASHINDANO YA PIKIPIKI BUKOBA YATIA FOLA KATIKA UWANJA WA KAITABA
Baadhi ya Waandaaji wa Mashindano hayo Bw. Forcus (kushoto) na Ndugu Tumaini aka BMC wakikubali mashindano hayo yaliyotia Fola Uwanjani hapo Kaitba. Akipata huduma ya kwanza baada ya kufanya Mzunguko wa kasi sana Mashabiki wakiduwaa kwenye Jukwaa kuu baada ya kumuona mtoto mdogo tu akiendesha pikipiki Norshad Mkazi wa Bukoba nae alikuwepo kwenye Mashindano hayo ya Pikipiki Dogo wa Miaka 6 tu akiendesha pikipiki wakati wa Mashindani ya hayo yaliyofanyika leo Jumapili kwenye Uwanja wa Kaitba Bukoba Mjini.
No comments:
Post a Comment