BUKOBA SPORTS

Sunday, November 2, 2014

ASTON VILLA 1 vs 2 TOTTENHAM


Leo Spurs wametoka nyuma ya bao 1-0 na kuifunga Aston Villa bao 2-1 na kuibuka na Ushindi wa bao 2-1 bao zikifungwa dakika za mwishoni Nacer Chadli akisawazisha bao dakika ya 84 na Harry Kane akawachapa bao la Ushindi kwenye dakika za majeruhi dakika ya 90 na kuibuka na Ushindi huo kwenye Uwanja wa Aston Villa, Villa Park. Bao la Aston Villa lilifungwa na Andreas Weimann kipindi cha kwanza dakika ya 16. Mtanange huu pia haukumalizika vyema kwani Aston mchezaji wao Christian Benteke  alioneshwa Kadi nyekundu kipindi cha pili hivyo kumaliza wakiwa pungufu wachezaji 10 Uwanjani.

No comments:

Post a Comment