BUKOBA SPORTS

Thursday, February 13, 2014

PICHA: MCHEZO WA MANCHESTER CITY v SUNDERLAND UMEHAIRISHWA KUTOKANA NA HALI YA HEWA KUWA MBAYA KWENYE UWANJA WA ETIHAD!

Mchezo wa Manchester City dhidi ya Sunderland uliokuwa uchezwe katika dimba la Etihad Stadium umeghairishwa kutoka na hali mbaya ya hewa. 
Polisi wa jijini Manchester wamethibitisha habari hiyo saa moja kabla ya kuanza kwa mchezo huo huku kukiwa na upepo mkali ambao umeufanya mchezo huo kughairishwa na kutokana masuala ya usalama.
Etihad Stadium storm force conditions

No comments:

Post a Comment