
Timu ya AJTC ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kunyakuwa ushindi katika tamasha la fungua mwaka na redio 5 lililoandaliwa na kampuni ya Tan media jijini Arusha katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid.

Timu ya Highridge ikipokea zawadi ya saa kutoka kwa mtangazaji Semio Sonyo baada ya kushika nafasi ya pili.

Mashabiki wakiangalia burudani kutoka kwa wasanii wa Arusha

Muonekano wa wachezaji wakiwa uwanjani.

Jambo squard wakiwapa burudani wakazi wa Arusha.
No comments:
Post a Comment