Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikadhi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo Mohamed Chipota kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika eneo hilo na kuwapa moyo wa kuendelea na mazoezi, wanaoshudia wengine wa pili kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago na Mussa Sindano. Vifaa hivyo pamoja na Dvd vina thamani ya shilingi laki mbili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baazi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago, Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota.
No comments:
Post a Comment