FEB 15, 2014 Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani, Watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UGANDA.Usiku huo hatuangalii Vivazi au nani anamiliki nini, ama yupi ni hot zaidi ya mwenzake, Tunaangalia kitu kimoja tu, Nani mkali wa kuimba na kucheza Jukwaani?
No comments:
Post a Comment