BUKOBA SPORTS

Sunday, March 2, 2014

CAPITAL ONE CUP FINAL: MAN CITY 3 v SUNDERLAND 1, YAYA TOURE, NASRI NA JESUS NAVAS WAIPATIA USHINDI CITY LEO NA KUTWAA KOMBE LA CAPITAL ONE CUP!!


BAO mbili za Yaya Touré katika dakika ya 55 na bao la Samir Nasri dakika ya 56 na moja la dakika za lala salama dakika ya 90 la Jesús Navas zimewapa ushindi Manchester City leo kwenye Fainali ya Ligi ya Capital One Cup kwenye uwanja wa Wembley.Kompany kwenye patashika!!Yaya Touré akishangilia bao lake katika dakika ya 55 kipindi cha pili.Wachezaji wa Manchester City wakipongezana baada ya kufunga bao mbili za haraka ndani ya dakika 2 kwa kufunga bao mbili.Mapema mashabiki wa Sunderland wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Fabio Borini katika dakika ya 10, Nakuamua kushangilia kama mashabiki wa Man City.Fabio Borini akishangilia bao lake la mapema la dakika ya 10 kwa timu yake ya Sundrland leo kwenye uwanja wa Wembley

No comments:

Post a Comment