BUKOBA SPORTS

Sunday, March 2, 2014

CAPITAL ONE CUP: MANCHESTER CITY v SUNDERLAND, MTANANGE KUPIGWA PUNDE SAA 11:00 JIONI HII...REFA NI MARTIN ATKINSON

Leo hapatoshi Wembley Stadium ni patashika kati ya City na Sunderland.The great entertainers: Pellegrini has turned City into a free-scoring outfit this season but the goals will count for nothing if they don't claim any silverwareWachezaji wa Man City wakipongezana moja ya ushindi wao mechi iliyopita..
Maelfu ya Mashabiki wa Sunderland na mizuka ya kutaka timu yao kuifunga Manchester City leo hii


Mashabiki wa Sunderland

Shabiki wa Sunderland akiwa ametilia uzi wa Sunderland full mpaka Tai...
Kocha wa City  Pellegrini

Wachezaji wa City Nightmare: City won't want a repeat of last season's trip to Wembley, a 1-0 defeat to Wigan in the FA Cup finalKazi ipo!!!
Joleon Lescott wenda akaanza leo kwenye uwanja wa Wembley karibu na Vincent Kompany. VIKOSI VINATARAJIWA KUWA HIVI:
Manchester City (Possible, 4-2-3-1): Pantilimon; Zabaleta, Kompany, Lescott, Kolarov; Ferdinando, Touré, Navas, Agüero, Silva; Negredo.
Nje: Jovetic (hamstring), Nastasic (knee).
Test: Agüero (hamstring).
Sunderland (4-1-41): Mannone; Bardsley, Brown, O'Shea, Alonso; Cattermole; Johnson, Ki, Colback, Borini; Altidore.
Nje: Westwood (shoulder).
Referee: Martin Atkinson. 

No comments:

Post a Comment