Mkwaju wa Penati ya Dakika ya 76 ya Jonathan Walters imewapa ushindi Stoke City wa Bao 1-0 walipopambana kwaoBritannia Stadium na Arsenal ambao pigo hili limewaacha wakiwa Pointi 4 nyuma ya Vinara Chelsea.
Penati hiyo ilitolewa baada ya Sentahafu Laurent Koscielny kuunawa Mpira.
Kipigo hiki kimeifanya Arsenal iwe imeshinda Mechi 1 tu kati ya 8 zilizopita ndani ya Britannia Stadium na hata ushindi huo Mwaka 2010 haukuleta raha kwani ni Siku hiyo Aaron Ramsey alivunjwa Mguu vibaya.
Pia kipigo hiki kimekuja wakati mbaya kwa Arsenal katika azma yao ya kutwaa Ubingwa Msimu kwa vile Wapinzani wao wanaofuata ni Tottenham, Chelsea na Manchester City ambao watapambana nao ndani ya Wiki mbili.Mchezaji wa Stoke akiendesha mpiraJonathan Walters akiwamaliza Arsenal kwa mkwaju wa penatiWachezaji wa Arsenal wakionekana kuchoka baada ya kufungwa bao hilo la pekee

No comments:
Post a Comment