BUKOBA SPORTS

Sunday, March 2, 2014

EPL: FULL TIME - FULHAM 1 v CHELSEA 3, ANDRE SCHURRLE APIGA HAT-TRICK UGENINI CRAVEN COTTAGE NA KUIWEKA KILELENI ZAIDI BLUES!

HAT-TRICK  ya Andre Schurrle imewapa ushindi Chelsea wa Bao 3-1 walipocheza Ugenini huko Craven Cottage na Fulham na kupaa kileleni sasa wakiwa Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili Arsenal.
Bao la Fulham lilifungwa na Johnny Heitinga.
John Terry akimpongeza Andre Schurrle

No comments:

Post a Comment