
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Al Ahly 0 - 0 Young Africans.
Dakika ya 70, Al Ahly wanapata bao la kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya Yanga.Dk 85 Al Ahly 1 - 0 Yanga.
Domayo alikuwa na nafasi nzuri ya kuisawazishia Yanga lakini anakosa - dk 89, Dk 90 zimekamilika na refa anaongeza dakika 5 za nyongeza.
Mpira umemalizika, Al Ahly 1 - 0 Young Africans
Aggrigate 1-1
Mikwaju ya penati....
Al Ahly wanashinda kwa mikwaju ya penati...
Al Ahly wanapata Penati 4, Yanga 3
No comments:
Post a Comment