Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi wao Angela Akilimali ilifana na kupongezwa na kila mfanyakazi kwa jambo hilo jema la kuwakutanisha wafanykazi na kufurahi pamoja. Pichani ni wafanyakazi hao wakigonga chiaaaaaaz!!
burudani ilitawala tafrija hiyo...
Kila mmoja aliinuka na kucheza
Kaimu Mkurugenzi Maama Angela Akilimali nae hakutaka kubaki kitini aliongoza safu ya kusakata kwaito.
Wengine wali show love namna hiii
Dj Fast Edie nae alishow love na boss bila wasi wasi.
Burudani iliendelea....
Kaimu Mkurugenzi alifungua mvinyo wa kutakiana heri.
No comments:
Post a Comment