Pichani kati ni Meneja wa bia ya Serengeti Bw Rodney Rugambo akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo jijini dar kuhusiana na mshidi aliyejishindia tiketi ya kwanza ya kwenda nchini Brazili
Meneja wa bia ya Serengeti Bw Rodney Rugambo akizungumza na mshidi huyo kwa njia ya simu ya kiganjani.
SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA .Hatimaye mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili kupitia bia ya Serengeti apatikana.
Baada ya kusubiri kwa kipindi cha wiki 3 hatimaye mshindi wa kwanza wa tiketi kwenda Brazili kupitia promotion ya tatu (3) winda safari na serengeti kwenda Brazili.
No comments:
Post a Comment