.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image)
Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira.

Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyoandaa kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah.

Jokate Mwegelo akiwa na mshindi wa Shindano la Ubunifu Jacueline Rimoi ambaye alimzawadia Tsh300,000 ambaye alitengeneza Tangazo la Kunadi Bidhaa za Kidoti katika Ukumbi wa Nkrumah.
No comments:
Post a Comment