Sunday, June 8, 2014

KIJITONYAMA VETERANS YATII KIPIGO CHA MABAO 3-1 BILA SHURUTI DHIDI YA WAUKAE VETERANS


Kikosi cha timu ya Kijitonyama Veterans, ambacho hii leo kimekubari kipigo cha mabao 3-1 bila shuruti kutoka kwa wapinzani wao, Waukae Veterans, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo asubuhi katika Uwanja wa Kijitonyama. Mabao ya Waukae yamefungwa na Felix Kopou na mawili yakifungwa na Athuma Bamia, huku bao la kufutia machozi la Kijitonyama, likifungwa na Norbert.

Kikosi cha Waukae Veterans.

Wachezaji wa timu zote mbili wakishoo love kabla ya mchezo huo.

Mafoto akisubiri kuchukua nafasi..

No comments:

Post a Comment