Kipindi cha pili dakika ya 61 Mchezaji wa Mexico Oribe Peralta aliipachikia bao la 1 Mexico na kufanya 1-0 dhidi ya timu ya Cameroon.
Dakika ya 73 kipindi cha pili mchezaji Oribe Peralta aliyewafungia bao Mexico alitolewa nje kupumzika na nafasi yake ikachukuliwa na Mchezaji Javier 'Chicharito' Hernandez anayekipiga kwenye Klabu ya Man United.Kipindi cha kwanza kilimalizika timu zote zikuwa 0-0 huku Mexico wakiziona nyavu za Cameroon mara mbili na Mwamuzi kusema siyo bao zote mbili, Moja likiwa la kuotea..Mchezaji wa Cameroon Samuel Eto'o akiwa kati huku Rafael Marquez na Hector Moreno wakiwa wako nae kila upande.t. Eto'o akifanya mambo yake mbele ya lango la Mexico... Mchezaji wa Mexico forward Giovani Dos Santos akilalamika baada ya kufunga bao na Mwamuzi kusema kaote...Hector Herrera katikati akiachia shuti pembeni ya mchezaji wa Cameroon Alexandre Song
Assou-Ekotto akichuana na mchezaji wa Mexico katika kipindi cha kwanza
VIKOSI:
Mexico: Ochoa, Layun, Moreno, Marquez, Rodriguez, Aguilar, Guardado, Vazquez, Herrera, Giovani, Peralta.
AKIBA: Corona, Salcido, Reyes, Fabian, Jimenez, Pulido, Hernandez, Ponce, Brizuela, Aquino, Pena, Talavera.
Cameroon: Itandje, Djeugoue, N'Koulou, Chedjou, Assou-Ekotto, Song, Mbia, Enoh, Moukandjo, Eto'o, Choupo-Moting.
AKIBA: Feudjou, Nounkeu, Aboubakar, Makoun, Bedimo, Webo, Fabrice, Salli, Matip, Nyom, N'Djock.
Referee: Wilmar Roldan Perez (Colombia)

No comments:
Post a Comment