BUKOBA SPORTS

Sunday, August 17, 2014

KAGAME CUP-RWANDA 2014: AZAM FC YAIBAMIZA BAO 4-1 ADAMA CITY NA KUTINGA ROBO FAINALI...KUKUTANA USO KWA USO NA EL MERREIKH YA SUDAN!!

AZAM FC jana imeichapa Adama City ya Ethiopia kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup, yanayoendelea huko Kigali, Rwanda na kutinga Robo Fainali kutoka Kundi A na watakutana na El Merreikh ya Sudan.
Timu nyingine zilizofuzu kutoka Kundi A ni Vinara Rayon Sports na Atlabara waliomaliza Nafasi ya Tatu.
Bao za Azam FC kwenye Mechi ya jana na Adam City zilifungwa na John Bocco, Didier Kavumbagu, Mcha Khamis na Kipre Tchetche.
Mechi za Makundi zinamalizika Jumapili kwa Mechi za Kundi B ambalo APR tayari imeshafuzu kuingia Robo Fainali na kuziacha KCC, Atletico na Telecom kugombea nafasi nyingine mbili zilizobaki huku Gor Mahia ikiwa tayari ipo nje.
Azam FC ndiyo timu iliyofunga magoli mengi zaidi kwenye mechi za makundi za mashindano ya Kagame Cup 2014. imefunga magoli 10 katika mechi nne ikifuatiwa na Police Rwanda yenye magoli 7

RATIBA/MATOKEO:

TAREHE
NA
MECHI
KUNDI
UWANJA
Ijumaa Agosti 8
1
Atlabara 1 KMKM 1
A
NYAMIRAMBO
2
Rayon 0 Azam FC 0
A
AMAHORO
3
Gor Mahia 1 KCC FC 2
B
AMAHORO
Jumamosi Agosti 9
4
Vital ‘O’ 5 Benadir 1
C
AMAHORO
5
Police 1 El Mereikh 0
C
AMAHORO
6
APR 1 Atetico 0
B
AMAHORO
Jumapili Agosti 10
7
KMKM 0 Azam FC 4
A
AMAHORO
8
Telecom 2 KCC FC 1
B
NYAMIRAMBO
9
Adama City FC 1 Rayon 2
A
AMAHORO
Jumatatu Agosti 11
10
Benadir 0 El Mareikh 4
C
NYAMIRAMBO
11
Gor Mahia 0 Atletico 1
B
‘’
12
Vital ’O’ 1 Police 3
C
‘’
Jumanne Agosti 12
13
KMKM 1 Adama City FC 1
A
‘’
14
Azam FC 2 Atlabara 2
A
‘’
Jumatano Agosti 13
15
APR  1 Telecom 0
B
‘’
16
KCC FC 1 Atletico 0
B
‘’
Alhamisi Agosti 14
17
Adama City FC 1 Atlabara 1
A

18
Rayon 1 KMKM 0
A

19
Police 3 Benadir 1
C

Ijumaa Agosti 15
20
Atletico 2 Telecom 1
B

21
APR 2 Gor Mahia 2
B

22
El Merreikh 1 Vital ‘O’ 1
C

Jumamosi Agosti 16
23
Adama City FC 1 Azam FC 4
A

24
Rayon 1 Atlabara 0
A

Jumapili Agosti 17
25
Telecom v Gor Mahia
B

26
KCC FC v APR
B
Jumatatu Agosti 18
MAPUMZIKO


Jumanne Agosti 19
ROBO FAINALI


27
Polisi v B3

NYAMIRAMBO
28
Rayon Sports v B2

‘’
Jumatano Agosti 20
29
Azam FC v El Merreikh

‘’
30
B1 v Atlabara

‘’
Alhamisi Agosti 21
MAPUMZIKO


Ijumaa Agosti 22
NUSU FAINALI


31
32
Mshindi 27 v Mshindi 28
Mshindi 29 v Mshindi 30

AMAHORO
Jumamosi Agosti 23
MAPUMZIKO


Jumapili Agosti 24
MSHINDI WA 3 & FAINALI


33
34
Mfungwa 31 v Mfungwa 32
Mshindi 31 v Mshindi 32

AMAHORO
**MUDA WA KUANZA MECHI UTAAMULIWA KATI YA CECAFA, FERWAFA NA SUPERSPORT KWA AJILI YA MATANGAZO LAIVU YA TV.

MSIMAMO:
**Timu 3 za juu toka Kundi A na B na Timu 2 toka Kundi C ndizo zitatinga Robo Fainali
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
2
Rayon Sports
4
3
1
0
4
1
3
10
1
Azam FC
4
2
2
0
10
3
7
8
3
Atlabara
4
0
3
2
4
5
-1
3
5
Adama City FC
4
0
2
2
4
8
-4
2
4
KMKM
4
0
2
2
2
7
-5
2
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
3
APR
3
2
1
0
3
2
1
7
1
KCC
3
2
0
1
4
3
1
6
4
Atletico
4
2
1
1
3
3
0
6
2
Telecom
3
1
0
2
3
5
-2
3
5
Gor Mahia
3
0
1
2
3
5
-2
1
KUNDI C
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Polisi
3
3
0
0
7
2
4
9
2
El Merreikh
3
1
1
1
5
2
3
4
3
Vital'O
3
1
1
1
7
5
2
4
4
Benadir
3
0
0
3
2
12
-10
0

No comments:

Post a Comment