BUKOBA SPORTS

Sunday, October 26, 2014

TOTTENHAM 1 vs 2 NEWCASTLE, SAMMY AMEOBI NA AYOZE PEREZ WAICHAPA SPURS KWAO!! NEWCASTLE WAPANDA!

Sammy Ameobi akishangilia bao lake la kusawazisha.1-1. Ayoze Pérez 
Newcastle United wametoka nyuma ya bao 1-0 na kuwapita Spurs kwa bao 2-1 katika kipindi cha pili. Bao la kusawazisha lilifungwa kipindi cha pili mapema dakika ya 46 kupitia kwa
Sammy Ameobi na bao la kuongoza lilifungwa na Ayoze Pérez katika dakika ya 58.

Emmanuel Adebayor aliwafungulia mlango Everton katika dakika ya 18 na kufanya 1-0 dhidi ya Newcastle.Emmanuel Adebayor alivyotupia bao lake kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment