Mainda akikata Keki tayari kwa kuliwa kwenye Kitchen Party yake
1,2,3....
Taswira za Keki kama unavyojionea...za kiaina...kijikoni zaidi!!
Nazi na Mashine yake...aina ya (Mbuzi)
Mainda akimlisha keki Mama yake mzazi
Na yeye alilishwa keki hiyo na Mama yake mzazi.
Dada Rukia Kassim nae alisogea karibu tayari..
Dada Mainda Rukia(kulia) nae akilishwa keki na Mdogo wake.KWA MATUKIO ZAIDI BOFYA HAPA CHINI USOME ZAIDI!!



Mama Mshehereshaji wa Party hiyo
Mainda hakusita na hapa akajiachia!!
Full shangwe!!
Dada yake Mainda, Rukia(kushoto) akitoa neno
Dada Mainda(kulia) akitoa neno
Muda wa kutoa machozi ulifika!! Neno likasisimua huku Dada Mainda akishindwa kuendelea na kububujikwa na Machozi ya furaha!! Harusi Ijumaa!!
Dada akitoa Darasa swala zima la Jikoni!!
Wakitokelezea...
Wakina mama wakiteta jambo





.













.
Dada Mainda akipewa zawadi
Shangwe zilifuata!! Ngoma na Muziki ukapigwa!
Kisha zawadi zikaendelea kumiminika!!!
Mainda(kulia) akiendelea kukamata kitita
Wekundu wa Msimbazi tu!
No comments:
Post a Comment