BUKOBA SPORTS

Saturday, October 11, 2014

SUPERCLASICO DE LAS AMERICAS: BRAZIL 2 vs 0 ARGENTINA. DIEGO TARDELLI AIPA USHINDI BRAZIL..ATUPIA BAO MBILI!

Diego Tardelli akishangilia moja ya bao lakeMECHI ya WAPINZANI WA JADI Marekani ya Kusini, Brazil na Argentina Wanapambana huko Beijing, China kwenye Mechi ya Kirafiki ambayo Jina lake rasmi ni Superclasico de las Americas.
Kipindi cha kwanza Diego Tardelli ndiye aliyeipachikia bao la kwanza Brazil katika dakika ya 28.
Dakika ya 64 kipindi cha pili Diego Tardelli  aliwachapa bao jingine Argentina na kufanya 2-0 na kipute kumalizika kwa 2-0. Kipindi cha kwanza dakika ya 41 Lionel Messi  alikosa penati.
Lionel Messi akipasha..


VIKOSI:
BRAZIL 11:
Jefferson, Danilo, Miranda, David Luiz, Filipe Luis, Willian, Luiz Gustavo, Elias, Oscar, Diego Tardelli, Neymar (c)
Akiba: Cabral, Grohe, Romulo, Souza, Robinho, Juan, Gil, Dodo, Mario Fernandes, Everton Ribero, Kaka, Coutinho
ARGENTINA 11: Romero, Zabaleta, Demichelis, Federico Fernandez, Rojo, Pereyra, Mascherano, Pastore, Di Maria, Messi (c), Aguero
Akiba: Marchesin, Guzman, Vergini, Otamendi, Roncaglia, Vangioni, Gago, Perez, Lamela, Gaitan, Banega, Higuain

No comments:

Post a Comment