BUKOBA SPORTS

Sunday, October 12, 2014

TAIFA STARS 4 vs 1 BENIN


Uzalendo kwanza Shabiki wa timu ya Taifa Stars akishangiliaMshambliaji wa Timu ya Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka Beki wa Timu ya Benin wakati wa Mchezo wao wa Kirafiki unaoendelea hivi sasa ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo,Taifa Stas inaongoza bao 3-0 mpaka sasa.Amri Kieemba akiifungia Taifa Stars bao
Wachezaji wa Taifa Stars wakipongezana na kushangilia moja ya bao lao
Mchezaji wa Taifa Stars akielekea katika lango la Benin
Mashabiki wa Taifa Stars wakishangilia
kwa hisani ya Michuzi blog.

No comments:

Post a Comment