UEFA CHAMPIOS LEAGUE baada ya kurudi dimbani jana Jumanne na leo Jumatano kwa Mechi za 3 za Makundi huku Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wakitua Anfield kupambana na Liverpool katika Mechi ya Kundi B.Kwenye Kundi hilo, Real wapo kileleni baada ya kushinda Mechi zao zote 2 na wanafuata FC Basel wenye Pointi 3 pamoja na Liverpool na mkiani ni Ludogorets Razgrad ambao hawana Pointi.
Jumanne, Mabingwa wa England, Manchester City, watafungua dimba kwa Mechi ya kwanza kabisa itakayochezwa mapema huko Moscow, Urusi watakapoivaa CSKA Moscow kwenye Mechi ya Kundi E.
Baadae Usiku huo, Chelsea watakuwa kwao Stamford Bridge kucheza na NK Maribor.
Arsenal wao watacheza Jumatano Ugenini huko Uholanzi kwa kuivaa RSC Anderlecht.
Bale wenda mechi hii akawa nje ya Dimba
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
RATIBA
Jumatano Oktoba 22
KUNDI A
Atlético Madrid v Malmö FF
Olympiakos v Juventus
KUNDI B
Liverpool v Real Madrid
Ludogorets Razgrad v FC Basel
KUNDI C
Bayer 04 Levserkusen v Zenit St Petersburg
Monaco v Benfica
KUNDI D
Galatasaray v Borussia Dortmund
RSC Anderlecht v Arsenal
No comments:
Post a Comment