Kocha wa Mbeya City Juma Mwambusi Ajiuzulu leo taarifa zaidi tutakujuza punde!Anakuwa Kocha wa Kwanza Msimu huu tangu kuanza kujiuzulu baada ya timu yake y Mbeya City kufanya Vibaya msimu huu wakiwa katika nafasi ya Mkiani na pointi zao 5.Kocha wa Mbeya City Juma Mwambusi
No comments:
Post a Comment