
Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi akilindwa na mchezaji wa Celta Vigo Fabian Orellana

Lionel Messi akipagawa baada ya kukosa bao nafasi ya Wazi leo Usiku kwenye Mchezo wao dhidi ya Celta Vigo, Barcelona imebanwa mbavu na kufungwa bao 1-0 na Celta Vigo na kutoweza kupanda kileleni walipokuwa. Barca kwa sasa wako nafasi ya tatu baada ya wenzao Real kushinda leo bao 4-0 dhidi ya Granada.
No comments:
Post a Comment