BUKOBA SPORTS

Sunday, November 30, 2014

LA LIGA: VALENCIA 0 vs 1 BARCELONA, BARCA WASHINDA KWA MBINDE UGENINI USIKU HUU!! BUSQUETS AKIIPA USHINDI!

Baada ya kukomaliana kwa muda mrefu tangu kipindi cha kwanza kumalizika 0-0, Kipindi cha pili dakika za nyongeza Barca ndio waliweza kupata bao zikiwa zimebaki sekunde tu mpira kumalizika. Bao likifungwa na Busquets baada ya kutokea patashika kati ya Diego Alves na Neymar na hatimae kuuvunja Moyo wa Valencia katika dakika za nyongeza za dakika 90 mpira kumalizika.

No comments:

Post a Comment