BUKOBA SPORTS

Sunday, November 30, 2014

AS ROMA 4 vs 2 INTERNAZIONALE

Gervinho ndie kaanza kuifungia bao dakika ya 21 kipindi cha kwanza na Andrea Ranocchia wa Inter kuwasawazishia bao dakika ya 36 na kipute kuwa sare ya 1-1.
José Cholevas aliifungia bao tena mwanzoni mwa kipindi cha pili katika dakika ya 47 na kufanya 2-1 huku Pablo Daniel Osvaldo Inter wakisawazisha dakika ya 57 na kisha Miralem Pjanic As Roma wakifunga bao la tatu dakika ya 60 na kufanya mtanange kuwa mgumu kwa upande wa Inter baada ya kupata bao la tatu na matokeo kubadilika kuwa 3-2 dhidi ya Internazionale.

Dakika za majeruhi Miralem Pjanic aliwafungia bao la nne As Roma na kufanya mtanange kumalizika kw bao 4-2 dhidi ya Timu ya Internazionale.

No comments:

Post a Comment