BUKOBA SPORTS

Wednesday, November 26, 2014

ARSENAL 2 - 0 DORTMUND, YAYA SANOGO AFANYA MAAJABU DAKIKA ZA MAPEMA! ALEXIS SANCHEZ AKITUPIA NAE BAO LA PILI!

Alexis Sánche akishangilia baada ya kuipa ushindi wa bao la pili Arsenal katika kipindi cha pili.
Yaya Sanogo aliwaandikia bao Arsenal la kwanza dakika ya mapema dakika ya 2 na Mtanange kwenda mapumziko Gunners wakiwa mbele ya Bao 1-0.
Kipindi cha pili dakika ya 57 Alexis Sánchez aliwapa bao tena na kufanya 2-0 dhidi ya Timu ya Dortmund.

No comments:

Post a Comment