Georgi Terziev alimaliza mchezo pale aliposwazisha bao dakika za majeruhi dakika ya 88 na kufanya 2-2 na Timu ya Majogoo Liverpool.
Ludogorets Razgrad Ndio walianza kuliona lango la Majogoo Liverpool mapema dakika ya 3 kupitia kwa Dani Abalo, Nao Liverpool walisahihisha makosa yao na kupata bao la kusawazisha katika muda mfupi dakika ya 8 kupitia kwa Rickie Lambert na kufanya 1-1.
No comments:
Post a Comment