BUKOBA SPORTS

Monday, November 24, 2014

ASTON VILLA 1 vs 1 SOUTHAMPTON, NATHANIEL CLYNE AIOKOA KIPIGO SAINTS, ASAWAZISHA BAO DAKIKA ZA LALA SALAMA VILLA PARK!

Nathaniel Clyne ndie aliyeiokoa Southampton kipigo katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha pili dakika ya 81' kwa kusawazisha na kufanya 1-1 kwenye Uwanja wa Villa park!  Sare hii imewafanya wagawane pointi moja moja, Southampton akibaki nafasi ya pili akiwa na pointi 26 na Aston Villa akibaki pale pale nafasi ya 16 akiwa na pointi 12.Kipindi cha kwanza kilimalizika 1-0, Aston Villa ambao ndio wenyeji walikuwa mbele ya bao moja bao likifungwa na Gabriel Agbonlahor dakika ya 29 kipindi cha kwanza baada ya kuwatoka mabeki pamoja na Kipa wake.Nathaniel Clyne(kushoto) akipambana na mchezaji wa Aston Villa Andreas WeimannVictor Wanyama akikabwa na N'zogbia
VIKOSI:
Kikosi cha Aston Villa: Guzan, Hutton, Okore, Clark, Cissokho, Sanchez, Westwood, Cleverley, Weimann, N’Zogbia, Agbonlahor
Villa akiba: Bacuna, Cole, Richardson, Bent, Given, Lowton, Grealish
Kikosi cha Southampton: Forster, Clyne, Fonte, Alderweireld, Bertrand, Wanyama, Mane, Schneiderlin, Tadic, Long, Pelle
Saints akiba: Kelvin Davis, Yoshida, Gardos, Cork, Mayuka, Reed, Targett



On a night celebrating 140 years of Aston Villa, Ex-Aston Villa player Gordon Cowans holds the European Cup prior to kick-off

Ex-Aston Villa manager Brian Little waves to the crowd as he holds the League Cup he won as boss in 1996

No comments:

Post a Comment