BUKOBA SPORTS

Sunday, November 23, 2014

FULL TIME: HULL 1 vs 2 TOTTENHAM, CHRISTIAN ERIKSEN AIPA USHINDI SPURS DAKIKA ZA MAJERUHI!


Harry Kane Aliisawazishia bao Tottenham dakika ya 61 kipindi cha pili na Christian Eriksen aliipa ushindi kwa kufunga bao la pili dakika za majeruhi dakika ya 90. Bao la Hull lilifungwa na Jake Livermore mapema kipindi cha kwanza dakika 8.

No comments:

Post a Comment