Wilfried Bony 9 ndie wa Swansea ndiye aliyeanza kuliona lango la Wenyeji wao Man City katika dakika ya 9 na dakika ya 19 Stevan Jovetic alisawazisha bao hilo na kufanya 1-1.
Yaya Touré dakika ya 62 alifunga bao la pili na kuifanya man City kuongoza kwa bao 2-1 dhidi ya Swansea City

No comments:
Post a Comment