CHELSEA 2 vs 0 WEST BROMWICH, DIEGO COSTA NA EDEN HAZARD WAIPA USHINDI BLUES NA KUIPEPERUSHA JUU ZAIDI KILELENI!
Diego Costa baada ya kuziona nyavu za West Brom Diego Costa alifungua lango la West Bromwich Albion katika dakika ya 11 kipindi cha kwanza na Eden Hazard alitosha kumaliza mchezo kwa kuichapa bao la pili West Bromwich Albion katika dakika ya 25 kipindi hicho hicho cha pili na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion. Ushindi huu unaipaisha zaidi Chelsea kileleni wakiwa na pointi 32 sasa. MATOKEO YA LEO
No comments:
Post a Comment