Bao la kwanza lilifungwa na Alex Oxlade-Chamberlain katika dakika ya 32 kipindi cha kwanza.
Rooneykaifungia bao la pili England katika kipindi cha pili dakika ya 47 na kufanya 2-0 dhidi ya Scotland.
Rooney akifunga bao la pili dakika ya 47

Rooney akishangilia baada ya kufunga bao usiku huu!

Wachezaji wa England wakishangilia na kupongezana baada ya kufunga bao
No comments:
Post a Comment