Sare imewafanya Chelsea waendelee kukaa kileleni wakiwa Pointi 7 mbele ya Timu ya Pili Southampton ambao Jumapili watakuwa Nyumbani kucheza na Mabingwa Manchester City na wana nafasi ya kulikata pengo hilo kufikia Pointi 4 wakishinda.
Hii ni Mechi ya 3 mfululizo ambayo Chelsea wanashindwa kuifunga Sunderland ambayo imewafunga Mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu England na Kombe la Ligi, Capital One Cup.
Chelsea leo wakiwa Ugenini huko Stadium of Light walibanwa na Sunderland na kutoka Sare ya 0-0.

Santiago na Eden wakichuana vikali

Costa akiwa ameshiukiliwa!!

Wes Brown akipiga kichwa huku Jack Rodwell akiwa nae anapambana

Ni mimi na wewe tu leo!

Wachezaji wa Sunderland wakiandamana kwa mwamuzi kwa kile walichoona siyo sahihi kwao!

Wes Brown na Costa wakiutafuta mpira

Umezidi!!! Kamata kadi ya njano!!!

Chupuchupu!!

No comments:
Post a Comment