Glen Johnson aliipchikia bao dakika za lala salama dakik ya 85 na kuifanya Liverpool kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stoke City.
Chupuchupu!

Philippe Coutinho akiwatoka mabeki wa Stoke City leo kwenye Uwanja wa Anfield

Liverpool kwenye ptashika tena na Stoke City

Steven Gerrard kwenye bench

No comments:
Post a Comment