BUKOBA SPORTS

Saturday, November 29, 2014

HERTHA BERLIN 0 vs 1 BAYERN MUNICH


Arjen Robben kaipatia bao kipindi cha kwanza dakika ya 27.
Mabingwa Watetezi wa Bundesliga, Bayern Munich, Leo hii wameendelea kuitawala Ligi hiyo ya Ujerumani baada ya kuifunga Hertha Berlin huko Olympiastadion Jijini Berlin Bao 1-0.
Bao la ushindi la Bayern lilifungwa na Arjen Robben hatika Dakika ya 27.

Ushindi huu umeifanya Bayern iwe Pointi 10 mbele kileleni mwa Bundesliga

Wolfsburg, ambao ndio wako Nafasi ya Pili, Jumapili watakuwa Nyumbani kuiva Borussia Monchengladbach ambao wako Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 3 nyuma yao.

Vigogo Borussia Dortmund, ambao Msimu huu wameporomoka vibaya kwenye Bundesliga wakiselelea Nafasi ya 16 ikiwa ni Nafasi ya 3 toka mkiani, Jumapili wako Ugenini kuivaa Eintracht Frankfurt ambayo iko Nafasi ya 12 wakiwa Pointi 4 mbele ya Dortmund.

No comments:

Post a Comment