Mgeni rasmi katika mashindano ya John Sawel Malecela 2014,mbunge wa viti maalum Ester Bulaya(mwenye kofia) akiwa na mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela wakati wa fainali ya mshindano hayo iliyofanyika katika uwanja wa Mamba Myamba wilayani Same.
Mgeni rasmi katika mashindano ya John Sawel Malecela 2014,mbunge wa viti maalum Ester Bulaya(mwenye kofia) wakifurahia jambo na mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela wakati wa fainali ya mshindano hayo iliyofanyika katika uwanja wa Mamba Myamba wilayani Same.
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela akiongozwa na katibu wa chama cha soka wilaya ya Same Nathaniel Msangi kwenda kukagua timu za sekondari ya Parane na Ntenga zilizokuwa zikicheza mchezo wa fainali ya kwanza.
Mbunge Kilango akikagua timu ya sekondari ya Ntenga.
Mbunge Kilango akikagua timu ya sekondari ya Parane.
Mbunge Anne Kilango akitoka kukagua timu za sekondari za Parane na Ntenga.
Wachezaji wa timu za sekondari za Parane na Ntenga wakiimba wimbo wa Tanzania kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa fainali.
Kikosi cha timu ya Ntenga sekondari.
Kikosi cha timu ya Paranae Sekondari.
Baadhi ya watazamaji wakifuatilia mchezo wa fainali kati ya timu ya Parane na Ntenga.
Kikosi cha timu ya kata ya Kihurio kikipasha misuli moto.
Vikosi vya timu za kata ya Kihurio na kata ya Maore wakiwa tayari kukaguliwa.
Mgeni rasmi katika fainali za John Samwel Malecela 2014 ,mbunge wa viti maalumu Ester Bulaya akikagua timu za kata ya Kihurio na Maore.
Timu za kata ya Kihurio na kata ya Maore wakiimba wimbo wa Tanzania kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali.
Kikosi cha timu ya kata ya Maore.
Kikosi cha timu ya kata ya Kihurio.
Afande kata akiimarisha ulinzi uwanjani.
Zawadi kwa washindi zikiwa zimeandaliwa mbele ya mgeni rasmi.
Washiriki wa mashindano hayo wakiwa tayari kupokea zawadi zao.
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango akizungumza kabla ya zoezi la utolewaji wa zawadi kuanza.
Mgeni rasmi katika Mashindano ya Malecela Cup 2014 ,Mbunge Ester Bulaya akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Mgeni rasmi ,Ester Bulaya akimvisha medali ,mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango akiwa ndiye mdhamini mkuu wa mashindano hayo.
Mbunge Anne Kilango akifurahia mara baada ya kuvishwa medali.
Mbunge Ester Bulaya akimkabidhi zawadi nahodha wa timu ya Kihurio Emanuel Mohamed bada ya timu yake kushika nafasi ya pili.
Mgeni rasmi Ester Bulaya akiwa ameshikilia kombe kwa ajili ya mshindi wa kwanza katika mashindano ya Malecela Cup 2014 .
Nahodha wa timu ya Kihurio akifurahia na wakazi wa kata ya Kihurio mara baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa katika mashindano ya Malecela Cup 2014.
Mbunge Anne Kilango akizungumza jambo mara baada ya mshindi wa kwanza kukabidhiwa zawadi ya kombe pamojna na pesa taslimu kiasi cha shilingi 700.000.
Kikosi cha timu ya Maore wakifurahia ushindi.
Mbunge Anne Kilango akigawa zawadi ya sahani kwa wanafunzi wa shule za sekondari za kata 16 katika jimbo la Same Mashariki zilizoshiriki mashindano hayo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment