MCHEZAJI BORA DUNIANI, Cristiano Ronaldo, anahitaji Bao 1 tu ili kuikamata rekodi ya ufungaji Bora kwenye Historia ya UEFA wakati Timu yake Real Madrid itakapoikaribisha Liverpool hapo Jumanne Usiku kwenye Mechi ya Kundi B la UCL. Rekodi hiyo inashikiliwa na aliekuwa Mchezaji wa zamani wa Real, Raul Gonzalez, aliefunga Bao 71 na Ronaldo ana nafasi kubwa kuikamata au kuivunja hasa baada ya Real kuichapa Liverpool Bao 3-0 kwenye Mechi yao iliyopita huko Anfield.
Gerrard akijifua kwenye mazoezi leo tayari kukutana Real Madrid usiku Bernabeu
Ikiwa Real wataifunga Liverpool basi watafuzu kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UCL huku ikiwa na Mechi 2 mkononi za Kundi B.
Timu nyingine ambazo zinaweza kutinga Raundi ya Mtoano ya Timu 16, pia wakiwa na Mechi 2 mkononi baada ya Mechi za Wiki hii, ni Bayern Munich, Chelsea, Barcelona, Arsenal, Borussia Dortmund na FC Porto. Ronaldo ameifungia Real Bao katika kila Mechi zao 12 alizocheza Msimu huu na ndie Mfungaji anaeongoza kwa Mabao kwenye La Liga Msimu huu akiwa na Bao 17 wakati ameshafunga Jumla ya Bao 22 katika Msimu huu.
Jumanne Ronaldo atakuwa na changamoto kubwa kuwa wa kwanza kuivunja rekodi ya Raul ya UCL kwani Lionel Messi anayo nafasi pia kuivunja wakati Jumatano Klabu yake Barcelona itakapokuwa Ugenini kucheza na Ajax huko Jijini Amsterdam, Uholanzi.
Wakati Ronaldo anazo Bao 70 za UCL, Messi ana Bao 69.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE:
RATIBA
Jumanne Novemba 4
KUNDI A
Juventus vs Olympiakos
Malmö FF vs Atletico Madrid
KUNDI B
FC Basel vs Ludogorets Razgrad
Real Madrid vs Liverpool
KUNDI C
20:00 Zenit St Petersburg vs Bayer Leverkusen
Benfica vs AS Monaco
KUNDI D
Arsenal vs Anderlecht
Borrussia Dortmund vs Galatasaray
Jumatano Novemba 5
KUNDI E
Bayern Munich vs AS Roma
Man City vs CSKA
KUNDI F
Ajax vs Barcelona
Paris Saint-Germain vs Apoel Nicosia
KUNDI G
NK Maribor vs Chelsea
Sporting Lisbon vs Schalke
KUNDI H
Athletic Bilbao vs FC Porto
Shakhtar Donetsk vs BATE Borisov

No comments:
Post a Comment