BUKOBA SPORTS

Wednesday, November 5, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MANCHESTER CITY 1 vs 2 CSKA MOSCOW, CITY WACHAPWA KWAO ETIHAD, YAYA TOURE APIGWA KADI NYEKUNDU!

Seydou Doumbia(kushoto) akishangilia bao lakeHatari tupu! 2-1Yaya Toure akiwa na Mwamuzi baada ya kuoneshwa kadi nyekundu!Nje!Mchezaji wa CSKA Moscow Seydou Doumbia akiifunga bao la pili Man City usiku huu.Seydou Doumbia akishangilia bao la kwanza na toi la mtoto(dummy) mapema kipindi cha kwanza.1-0, CSKA Moscow wakipongezana baada ya kupata baoYaya Toure akishangilia bao lake baada ya kuisawazishia bao Man City kwa frii kiki dakika ya 8 kipindi cha kwanza.Kocha wa City akijionea mwenyewe Vijana wake wanavyokarabatiwa!Milner akimpongeza Yaya Toure baada ya kufunga bao la kuawazisha kipindi cha kwanza.RATIBA
Jumatano Novemba 5
KUNDI E 

Bayern Munich vs AS Roma 
Man City vs CSKA 

KUNDI F 
Ajax vs Barcelona 
Paris Saint-Germain vs Apoel Nicosia 

KUNDI G 
NK Maribor vs Chelsea 
Sporting Lisbon vs Schalke 

KUNDI H 
Athletic Bilbao vs FC Porto 
Shakhtar Donetsk vs BATE Borisov

No comments:

Post a Comment