CHELSEA 2 vs 0 HULL CITY, EDEN HAZARD NA DIEGO COSTA WAIPA USHINDI BLUES!
Eden Hazard aliifungia bao la kwanza Chelsea dakika 7 kipindi cha kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya Hull City. Bao la pili lilifungwa na Diego Costa dakika ya 68 kipindi cha pili.Eden Hazard 7'
No comments:
Post a Comment