Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Khamis Sued Kagasheki akiongea na Umati wa Watu leo wakati wa uzinduzi wa Hoteli mpya yenye ukumbi wa mikutano, Harusi na Sherehe mbalimbali pia na Ukumbi wa Burudani wa kisasa kabisa 'Night Club' ikijulikana kwa jina la NALPHIN HOTEL & NIGHT CLUB lililopo Wilayani Muleba.
Mh. Khamis Sued Kagasheki na Mkurugenzi wa hoteli hiyo Bw. Nafu wakati wa Uzinduzi wa Hoteli yake Usiku huu Ijumaa.
Imezinduliwa rasmi leo Ijumaa Dec 5, 2014 na Mh. Balozi Khamis Kagasheki na kuhudhuriwa na Umati wa Watu wengi.
Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mh. BaloziKhamis Kagasheki akishiriki pamoja na Mkurugenzi wa Ukumbi mpya wakisasa kabisa wa 'Nalphin Hotel & Night Club Mr. Nafu na mkewe zoezi zima la kukata keki ikiwa ni Ishara ya kufunguliwa kwa 'Nalphin Hotel &Night Club usiku huu Ijumaa Dec 5, 2014.
Mkurugenzi wa 'Nalphin Hotel&Night Club Mr. Nafu na mkewe wakiwa mbele ya keki na tayari kwa kukatwa kwa keki hiyo kwenye uzinduzi rasmi leo hii Ijumaa.
Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mh. BaloziKhamis Kagasheki wa pili kutoka (kulia) akitoa neno fupi kwa Wageni waalikwa wakati wa uzinduzi rasmi wa 'Nalphin Hotel & Night Club .
Mashindonge Group' waliingia na Ngoma yao ya Asili kutumbuiza
Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mh. BaloziKhamis Kagasheki watumbuizaji hao wa Ngoma za asili.
Mkurugenzi wa 'Nalphin Hotel&Night Club .Mr Nafu akiwatuza
Kundi la Mashidonge likiendelea kutoa Burudani Ukumbini.
Waigizaji wa Vichekesho kutoka kundi la Futuhi la jijini Mwanza nao walikuwepo kutoka Burudani
Tajiri wa Kigoma akifanya yake!
Burudani ikakolea...
unatenngua utengui?? Ngoja sasa!!! Wasanii wa Vichekesho kutoka Mwanza wakiendelea kuangaishana jukwaani huku wakitoa Burudani kemkem za Vichekesho!
Sharobaro wa Kihaya akitoa Burudani na mwenzake
Sehemu ya meza kuu nayo ikawa makini...ikaburudishwa!
Mkurugenzi wa 'Nalphin Hotel&Night Club Mr. Nafu na mkewe kushoto) akitoa neno mbele ya Mgeni Rasmi na Mbele ya Waalikwa kwenye Ukumbi wa Hoteli hiyo kubwa na ya kisasa hapa Bukoba.
Rafiki yake na Mr. Nafu kutoka Jijini Bujumbura Nchini Burundi nae alikuwepo ukumbini hapo wakatii wa Uzinduzi huo.
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael 'Lulu', kutoka Jijini Dar es salaam nae alikuwepo katika Uzinduzi Rasmi wa Hoteli hiyo hapa Muleba-Bukoba na hapa alikuwa kama Mc.
Msanii maarufu wa maigizo nchini, Kulwa Kikumba, almaarufu kwa jina la Dude(kulia) nae alikuwepo na hapa aliuvaa u-Mc na Mc mwenzake Ruhi kutoka jijini Mwanza.
Sehemu ya waalikwa Ukumbini
Taswira ukumbini wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Nalphin
Msanii maarufu wa maigizo nchini, Kulwa Kikumba, almaarufu kwa jina la Dude alikwa Mc No. 1 katka Uzindu huo.














Jamal kalumuna akiwa na Msanii wa maigizo Nchini Lulu"







Lulu akiteta jambo na Lulu
Zawadi kutoka Nchini Burundi







Kundi zima la Mchinga Sound band likiachia Burudani, Likiongozwa na Muumini

Muunini Mwinyi Juma akitoa Burudani kwa wapenzi wake





Mchinga Sound band wakiwajibika vilivyo!!


Willy Kiroyera kwenye ukodak na Jamal K (jamco)

Muda wa Chakula ulifika meza zikachafuka!!








No comments:
Post a Comment