Rais Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mh Jamal Malinzi akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za TFF Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Kombe la Wanawake Taifa, yanatarajiwa kuanza Disemba 28 mwaka huu kwa kushirikisha timu kutoka Mikoa yote ya Tanzania. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Soka la Wanawake (TWFA) Rose Kissiwa
No comments:
Post a Comment