
Dakika ya 82 Kepteni Steven Gerard alisawazisha bao na kufanya 1-1. Liverpool wakiwa wanacheza pungufu 10 uwanjani.

Wachezaji wa Fc Basel wakishangilia na kupongezana(kushoto) huku wachezaji wa Liverpool kulia wakionekana kupagawa baada ya bao hilo, Tmu Kepteni akijiuliza maswali!!

Nje!! Lazar Markovic akioneshwa kadi nyekundu na Mwamuzi

Mtanange ukiendelea..kipindi cha kwanza.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
RATIBA
Jumanne Desemba 9
KUNDI A
Juventus v Atletico Madrid
Olympiakos v Malmö FF
KUNDI B
Liverpool v FC Basel
Real Madrid v Ludo Razgrad
KUNDI C
Benfica v Bayer Leverkusenn
Monaco v Zenit Saint Petersburg
KUNDI D
Borussia Dortmd v Anderlecht
Galatasaray v Arsenal
No comments:
Post a Comment