BUKOBA SPORTS

Saturday, January 31, 2015

LIVERPOOL 2 vs 0 WEST HAM UNITED, DANIEL STURRIDGE ARUDI NA KUFUNGA BAO, RAHEEM STERLING AKIWAFUNGULIA LANGO!

BAO 2 za Raheem Sterling dakika 51 na bao la mwisho la Daniel Sturridge la dakika ya 80 zimewapa Ushindi wa pointi 3 muhimu Majogoo wa Anfield leo walipomenyana na West Ham United.Sturridge, ambae alikuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitano baada ya kuumia, aliingizwa Dakika ya 68 kumbadili Markovic na hii ilikuwa ni Mechi yake ya kwanza kabisa.

No comments:

Post a Comment