BUKOBA SPORTS

Monday, January 26, 2015

MISS COLOMBIA PAULINA VEGA ATWAA TAJI LA MISS UNIVERSE 2015, UMATI WAZOMEA!


Miss Colombia, Paulina Vega baada ya kuvishwa taji la Miss Universe 2015.
Miss Jamaica Kaci Fennell (22) aliyetarajiwa na wengi kutwaa taji hilo.…

Huyu ndiyo alienyakua taji la Miss Universe 2015 Paulina Vega kutoka Colombia akiachia tabasamu baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa mashindano hayo yaliyokuwa yakilindika huko Doral. Fl. Hapa chini washindani wote na picha mbili za mchindi wa mashindano hayo Paulina Vega.

Read more here: http://www.miamiherald.com/news/local/community/miami-dade/doral/article8124831.html#storylink=cpy

No comments:

Post a Comment