BUKOBA SPORTS

Sunday, February 1, 2015

AFCON 2015: GHANA 3 - 0 GUINEA, APPIAH NA CHRISTIAN ATSU WAIPELEKA GHANA NUSU FAINALI!

Christian Atsu
Christian Atsu dakika ya 4' anaipachikia bao Timu yake Ghana
Dakika ya 44 kipindi cha kwanza mwishoni Ghana waliongeza tena bao na kufanya 2-0 dhidi ya Guinea baada ya kujichanganya kwa kutoa pasi hewa na K. Appiah kuupata na kutofanya makosa.


Christian Atsu alifunga tena bao dakika ya 61 kipindi cha piliGhana
Ghana's Christian Atsu

No comments:

Post a Comment