BUKOBA SPORTS

Thursday, February 5, 2015

AFCON 2015: GHANA 3 vs 0 EQUATORIAL GUINEA, AYEW AFUNGA BAO MBILI NA MUBARAK AKITUPIA....MTANANGE WAMALIZIKA KWA VURUGU!! GHANA HIYOO FAINALI KUKUTANA NA IVORY COAST! (DABI YA WEST-AFRICA, KAMA 1992).

www.bukobasports.comDakika ya 75 tena Ayew aliwafunga bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Equatorial Guinea. 
Katika hali ya kutoeleweka mpira ulisimama katika dakika ya 83 na Mashabiki wa Guinea kuingia Uwanjani na mpira kusimama kwa Muda....Ulinzi kuimarishwa uwanjani hapo...Helicopter nayo ikazunguka juu ya Uwanja kwa Ulinzi zaidi...www.bukobasports.comHivi ndivyo ilivyokuwa usiku Nguvu ilibidi itumike..
Kisha mtanange uliendelea...baada ya Mashabiki wengi wao kutoka Uwanjani...Issue ilianzia hapa dakika ya 82

Wachezaji ilibidi wasubilie helicopter ifukuze Mashabiki waliokuwa wanataka kulianzisha...ndipo Usalama uliimarishwa na mambo kwenda safi..

Mwewe akiwatutumua Mashabiki

Mashabiki Chini....

Polisi walilazimika kutumia mabomu ya Machozi kwenye Uwanja wa  Malabo Stadium usiku huo

Wachezaji wa Ghana wakipewa msaada wa kutoka kwenye Uwanja na Askari

Polisi waliwasonga Mashabiki na kuwatoa Uwanjani hapo

Polisi waliwasonga Mashabiki na kuwatimua...

Shabiki Mwenyeji akiondolewa Uwanjani

Na Wachezaji wa Equatorial Guinea nao walipewa Msaada kutoka Uwanjani usiku.

Taswira Uwanjani hapo...hii ni kuonesha Vurugu zilitokea..

Taswira..

Helicopter ilipitia pande zote za Uwanja huo

Mashabiki vigang'anizi hawa wote waliondoshwa Uwanjani

Mashabiki wa Ghana

Mashabiki wa Ghana...wakionekana kuwa na Wasiwasi huku wakiwa wanajua wanapointi mkononi za kuwapeleka Fainali...baada ya kuwa mbele ya bao 3-0

Ilikuwa ni Patashika..



ulinzi mkali ndani ya Malabo Stadium

Mtanange ulisimama hapa na kila Mtu kwenye kujiuliza...

Polisi wakiwa makini sana juu ya swala zima la kuweka mambo sawa "Amani iwepo"

Shabiki wa  Ghana akitokelezea kwenye kamera

 'Die Hard' Shabiki  akionesha mambo

Andre Ayew (left) ambaye anaongoza kwa kufunga bao AFCON 2015 akichuana na mchezaji wa Equatorial Guinea Ivan Zarandona katika kipindi cha kwanza.

Kipa wa Equatorial Guinea  Felipe Ovono akichuana na mchezaji Kwesi Appiah na kumkwatua chini jambo ambalo liliwazalishia nafasi ya kupata bao kwa mkwaju wa penati
Dakika ya J. Ayew 42 walipata bao lililofungwa na Ayew kwa kwaju wa penati na dakika ya 45 zikiwa zimesalia dakika kiduchu kumaliza kipindi cha kwanza Ghana walipata bao la pili kupitia
kwa Wakaso Mubarak na kufanya 2-0 dhidi ya Equatorial Guinea. Ayew akikacha na mpira..

No comments:

Post a Comment