Kocha mpya wa Aston Villa Timu Sherwood ametambulishwa rasmi leo jumatatu Klabuni Villa Park
Timu mwenye miaka 47 akiongea kwenye Vyombo vya habari.
Vazi maalum atakalovaa Tim Sherwood tayari lipo Dukani

Bei yake itasimama kati ya £42 mpaka £29
Sherwood akiangalia Taswira za Uwanjani
Sherwood akitabasamu leo Jumatatu wakati wa Utambulisho
No comments:
Post a Comment